Siku ukiwa na matatizo mengii na hujui ufanyeje kila kitu kinaenda kombo, kunywa chupa moja na nusu. Usisubiri mpaka ue na pesaEti wananzengo sijawahi kunywa hata kizibo(sijisifii)ila watu wangu wa karibu wengi wao wanywaji wazuri tu.
Kuna muda natamani kuonja ila nafsi inagoma kabisaa yaani!
Utakuta nimekaa na washkaji wananishawishi ila najikuta nagoma hii imenifanya Mara nyingi sipendi kutoka usiku sana kwa kua silewi maana utakuta miye peke yangu nanywa maji sana tu au Bavaria kampani yote wao watumia vilevi!
Nishawishini walau nioje siku moja tu halafu nisinywe tena maana wengi wanasifia pombe tamu!walau tu nionje na miye kaaahh!
Onja tamu sana na ukionja huwezi kuacha.
Umeshanifanya niitamani Weekend [emoji23][emoji23][emoji23]
Don't drink and drive.
Tena mtu kama huyu anaanza na St Anna au savanna mbili tu. Ila atakunywa tu sikuMm nimeshamshawishi sana tu hata juzi kati nilimwambia anywe wine ila ipo siku yake atakunywa tu tukiwa na ndugu yangu @Mzigua90
Nne ndio naanza kulewa nakunywa mpka 7[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]loooh!we mwenyewe wanywa nne tu ndo nini sasa?
Yani huyo nae nne tu analewa. Kuna mkaka anakunywa sita tu ila atalewa kama kanywa bia 15.[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]loooh!we mwenyewe wanywa nne tu ndo nini sasa?
Tena mtu kama huyu anaanza na St Anna au savanna mbili tu. Ila atakunywa tu siku
Yani tamu mnooo plus mishikaki [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Hivi unaanzaje kuacha jamani daah pombe tamu sana