KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Pepo la ulevi linakunyatia..Eti wananzengo sijawahi kunywa hata kizibo(sijisifii) ila watu wangu wa karibu wengi wao wanywaji wazuri tu.
Kuna muda natamani kuonja ila nafsi inagoma kabisaa yaani!
Utakuta nimekaa na washkaji wananishawishi ila najikuta nagoma hii imenifanya mara nyingi sipendi kutoka usiku sana kwa kua silewi maana utakuta miye peke yangu nanywa maji sana tu au Bavaria kampani yote wao watumia vilevi!
Nishawishini walau nioje siku moja tu halafu nisinywe tena maana wengi wanasifia pombe tamu!walau tu nionje na miye kaaahh!
Mbona mm nalewa jamani
Hao wa ushuani wanatupiga bwana. Bei ya bucket moja ushuni huku uswahilini nayumba kabisa.
Hata sielewi naona pombe tuu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mzigua acha ukorofi jamani sasa wapondaje tamu ya mwenzio
Kumbe we kalevi..[emoji113]Onja tamu sana na ukionja huwezi kuacha.
Umeshanifanya niitamani Weekend [emoji23][emoji23][emoji23]
Don't drink and drive.
piga k vant tu kubwa lileNikinywa 16 kwa uchache 40 imeisha, wakati jibapa moja ni 10,000/=, msosi 10,000/=.
Mara nyingi nakunywa Heineken nikitaka showoff na niko mbali na home na sina uhakika wa usafiri.
Sijawahi kulewa heineken...
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28]we sema mwisho nne bwana!
HahahahahhhaaYaan angelipia hizo 4 za mwanzo kuendelea hapo tujilipie tu wenyewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]lipa wewe
Khaaa Don jamani kwa nn usitulipie hizo 4 za mwanzo
Sawa tutakusubiria wakati mimi na Shunie sweetlee na Don Clericuzio tunaendelea[emoji2][emoji3][emoji3][emoji4]miye mpk mwezi uishe jamani!ndo ntaanza jifunza
Kama mimi ila pombe za ndani sitaki yule mkurya analiliaga chupa zangu.Hapa nje kwangu kwenye kiduka 2500 tu yani nikisikia kiu tu napiga simu naletewa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3]sie wa maji je?
Anazunguuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28]we sema mwisho nne bwana!