Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Hahahahaaa. Kuna weekend nimeanza kunywa saa 9. Huyo mnunua pombe alikua kama anatukomoa yani. Nimekunywa weee mpaka inafika saa tatu tumbo limejaa sisikii kitu. Nikanywa maji nikabeba pochi nikawaambia nilikuwepo naona najichosha kwenda chooni halafu sijisikii kuyumba.


Ni hasara hasa ukiwa umezingatia mlo vizuri na unakunywa mdogo mdgo ukute kuna Kaubaridi kama huku nilipo.

Ndo maana urusi bia huwa haiko kwenye group la pombe ni kama kahawa tuu.
 
Back
Top Bottom