Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Nikweli , Mimi kila napopata wasaa wa kupumzika na mwanamke wangu mara nyingi lazima tufanye sex.
[emoji817][emoji91][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nawajua nyinyi nshaexpiriensi mbonaa!asubuhi,mchana,ukitoka kuoga unavaa Mara huyu tayari![emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
That was my view, muda mwingi utajikuta ni umbea na duu, mmegombea remote, mwisho wa siku unajikuta unafatilia vipindi vya Telemundo.
Aahh so ili kuepukane nahayo basi nilazima uwe unatoka nakwenda kunywa pombe?.

Baadhi ya mambo ni tabia, natabia huwa haijalishi unakunywa pombe au lah ... Kwanza asilimia kubwa ya wanandoa wanywao pombe , magonvi yao mengii hutokana na pombe.

Na kwamwanamme mkamilifu huwezi kaa ugombane na mwanamke wako kwa mambo madogo madogo km hayo na unaakili timamu ambayo haijachanganywa na ulevi!!.

Mimi nmeshudia magonvi mengi. Baba mnywaji kumpiga/kumtukana mkewe ,kisa amechelewa kumfungulia mlango ,au kisa Chunvi imezidi ktk mboga , akati anasahau Pombe ilimpunguzia uwezo wa utendaji kazi.
 
[emoji817][emoji91][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nawajua nyinyi nshaexpiriensi mbonaa!asubuhi,mchana,ukitoka kuoga unavaa Mara huyu tayari![emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Basi kila mmoja ana ulevi wake [emoji1][emoji28]
 
Wewe ukitaka kuhakiki angalia alivyoanza kuzungumzia Shunie anakunywa, nani wake hanywi, wanawezaje so and so.

[HASHTAG]#nothingpersonal[/HASHTAG], just my opinion.
Aiseee unakila sababu ya kujiunga na Twaweza !!!.

Izo zilikua nijust stories ndomaana namm nilikua nashea naye Maisha kwa upande wangu.

Alafu am not interested in other's life mkuu... Sinaga kwanza huo muda my Road is always Underconstraction.... Sasa huo muda wakuanza kumfatilia mtu niutoe wapi???
 
Usijaribu kaa hivyo hivyo,itakapokuletea shida kuchomoka ni kazi sana...
 
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16][emoji16]wacha wee!
Kabisaaaaa na asikuambie mtu..hata nyinyi wanawake mnapenda izo mambo sanaaaa zaidi hata ya pombe ,tena ndo umpate anayekujulia kweli kweli uwiiiiiiii hutotaka asitoke .

Huo ndo ulevi wetu
 
Kabisaaaaa na asikuambie mtu..hata nyinyi wanawake mnapenda izo mambo sanaaaa zaidi hata ya pombe ,tena ndo umpate anayekujulia kweli kweli uwiiiiiiii hutotaka asitoke .

Huo ndo ulevi wetu
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana tuu!ukimpata mnaependana raha Sana mnacheza makida with affection!
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana tuu!ukimpata mnaependana raha Sana mnacheza makida with affection!
Yaaaan weee acha, naizo mambo bana,mkutane wote mioyo imesisimka alafu mnapendana hahaahahah nishidaaaah juuu ya shidaaaahh.

Binti wa watu haishi kukusimulia kwa dada na rafiki zake maana sio kwa maraha unayompa[emoji23][emoji23]

Achana kabisa na huo ulevi, hauchoshi yaan mkienda sawa kimapigo. Utajikuta hutaman masaa yaende[emoji1][emoji1][emoji1]

Huo ndo ulevi wetu ..we are good[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ohooooo sawa mambo sihayo sasa kwaiyo hapo ni ndege wafananao ivo mnaruka pamoja.

Maana daaah mie nawivu kwa mwanamke wangu nahuwa nataka kujua her Schedule throughout the day, sometimes naogopa hii " baby leo natoka na Friendz naenda kupata bia kidogo"..hapo nibora muwe watumiaji wote,ili mwende pamoja eti eeehh?.

Aya hongera Chapombe Shunie wa Davet muonjaji....yan testing tuuu !!!

Sasa hakikisha unamvuta vuta jamaa japo mlingane ktk unywaji ... Maana naamin km ni muonjaji tu, kuna siku atakuambia Uache unywaji na uwe muonjaji, ... Sijui utakua willing kuitikia wito wake?? .

Shunie na Davet

mahondaw na Smart911

Mambo ni[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

Hahahahaha.. wananzengo lol mwanza moja..... thanks God Smart911 wangu jamani... thanks once again.

mkuu vlad vipi weye unatumia??
kweli ndege wafananao aseeehhh
 
Yaaaan weee acha, naizo mambo bana,mkutane wote mioyo imesisimka alafu mnapendana hahaahahah nishidaaaah juuu ya shidaaaahh.

Binti wa watu haishi kukusimulia kwa dada na rafiki zake maana sio kwa maraha unayompa[emoji23][emoji23]

Achana kabisa na huo ulevi, hauchoshi yaan mkienda sawa kimapigo. Utajikuta hutaman masaa yaende[emoji1][emoji1][emoji1]

Huo ndo ulevi wetu ..we are good[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3]mapenzi matamu mkipendana kweli
 
Back
Top Bottom