Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Eti wananzengo sijawahi kunywa hata kizibo(sijisifii) ila watu wangu wa karibu wengi wao wanywaji wazuri tu.

Kuna muda natamani kuonja ila nafsi inagoma kabisaa yaani!
Utakuta nimekaa na washkaji wananishawishi ila najikuta nagoma hii imenifanya mara nyingi sipendi kutoka usiku sana kwa kua silewi maana utakuta miye peke yangu nanywa maji sana tu au Bavaria kampani yote wao watumia vilevi!

Nishawishini walau nioje siku moja tu halafu nisinywe tena maana wengi wanasifia pombe tamu!walau tu nionje na miye kaaahh!
Jaribu pombe haina shida
1528211739254.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila wanywaji a.k.a walevi mna vituko sana...nimesoma page moja nimeshalewa kwa comments zenu
 
Back
Top Bottom