Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Hahahahaha.. wananzengo lol mwanza moja..... thanks God Smart911 wangu jamani... thanks once again.

mkuu vlad vipi weye unatumia??
kweli ndege wafananao aseeehhh
Mimi situmii mkuuu ...

Mimi nimsukuma mmoja wa ndani ndani hukooo ushamba mwingiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi aiseee kutoka moyon mwangu nawakubali sana ingawa najikubali sana mwenyewe..


Lkn Sure wewe na smart nawakubali kichizi 100% . Ndio maana unaona nawataja..mpo Really sana, ingawa hamna barabara ilonyooka , ila Guys endeleen kua ivo ivo ...mnawasomesha namba watu humu mpaka basiiiii...endeleen kuwasomesha aiseee


Izi zenu izi Cc smart911 ......Cc Mahondaw ..hahahahaha nyie vijana nyinyi. Aiseeeee furaha yangu niendelee kuziona izo Cc ...mimi hata mkigombana, kwaheshima na taazima naomba mrudiane haraka iwezekanavyo kabla sijawatia bakora!!!

Mpo really, hamchoshi wala hamboi ...

mahondaw

Smart911
 
Aahh so ili kuepukane nahayo basi nilazima uwe unatoka nakwenda kunywa pombe?.


Baadhi ya mambo ni tabia, natabia huwa haijalishi unakunywa pombe au lah ... Kwanza asilimia kubwa ya wanandoa wanywao pombe , magonvi yao mengii hutokana na pombe.

Na kwamwanamme mkamilifu huwezi kaa ugombane na mwanamke wako kwa mambo madogo madogo km hayo na unaakili timamu ambayo haijachanganywa na ulevi!!.

Mimi nmeshudia magonvi mengi. Baba mnywaji kumpiga/kumtukana mkewe ,kisa amechelewa kumfungulia mlango ,au kisa Chunvi imezidi ktk mboga , akati anasahau Pombe ilimpunguzia uwezo wa utendaji kazi.

Cool...

Mwisho wa siku ni mtu na mtu, it aint a general rule.
 
Kiboko kabisa. Marafiki zetu wanatutaniaga tutoke tukanywe ila kununua bia mwisho 10 baada ya hapo kila mtu ajinunulie maana wengine wana matank tumboni.
Mi inategemea na hiyo siku kichwa kikoje. Kuna siku bia sita nalewa siku zingine hata 12 silewi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hasa nikianza mchana ndo silewagi
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom