Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kwani wee umefunga?
Sijafunga, ila kipindi cha mfungo huwa napunguza sana pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wee umefunga?
piga k vant tu kubwa lile
Siku ukiona anavyolilia bia utacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana
We kaka wewe. Kwani ile siku ya mechi ya liver si mfungo ulikuwepo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijafunga, ila kipindi cha mfungo huwa napunguza sana pombe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Sijafunga, ila kipindi cha mfungo huwa napunguza sana pombe.
Siku ukiona anavyolilia bia utacheka
We kaka wewe. Kwani ile siku ya mechi ya liver si mfungo ulikuwepo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noted!!!😀Walevi hawakatai kampani mkuu.
The same rules, what happens in Vegas stays in Vegas.
Hahahahaaa. Kuna weekend nimeanza kunywa saa 9. Huyo mnunua pombe alikua kama anatukomoa yani. Nimekunywa weee mpaka inafika saa tatu tumbo limejaa sisikii kitu. Nikanywa maji nikabeba pochi nikawaambia nilikuwepo naona najichosha kwenda chooni halafu sijisikii kuyumba.
Hapo mwisho nakazia.Walevi hawakatai kampani mkuu.
The same rules, what happens in Vegas stays in Vegas.
Dar joto basi tu sijui ilikuaje.Ni hasara hasa ukiwa umezingatia mlo vizuri na unakunywa mdogo mdgo ukute kuna Kaubaridi kama huku nilipo.
Ndo maana urusi bia huwa haiko kwenye group la pombe ni kama kahawa tuu.