Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Mkuu usije jaribu... mimi napambana kutoka ila kiu yake ni levo ya kishetani... koo hua linasumbua sana na ni adui mkubwa wa pesa... huyu bwana hapendi swala la saving kabisaa!
Ahsante! Najiulizaga ni ushamba au utoto..why nisijaribu?!
 
Ahsante! Najiulizaga ni ushamba au utoto..why nisijaribu?!

Mzee! Kaushetani kake ka utamu hakaelezeki kiurahisi it is addictive... wote wanywaji tunajua kua inaharibu ini... figo... moyo na ni chanzo kizuri pia cha kansa ila hushangai bado tunapiga vyombo vya studio? Inaonekana una hamu sana , jaribu uone! Baada ya kukesha usiku mzima kwa kunywa pombe, kesho yake hua tuna apa kutokunywa tena .. na wengine kwenda na kwenye nyumba za ibada kabisa lakini wapi. DRINK AT YOUR OWN RISK!
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]barikiwaa
 
Mamamaa weeee. Gubu lake sio la nchi hii. Kitu cha mistari miwili atakiandikia paragraph
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkwee!balaa nna uzoefu ule wenyewe wa miaka almost mitano hivi[emoji23][emoji23]mpk unatamani hata aonje kidogo!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]aisee!wasiokunywa pombe wanaume Mara nyingi wanakua vitombi balaaa!!!

Nikiskia mtu halewi najua ni player huyo 75% hachomoki!
Si kweli hawawafikii wanaokunywa ,tena wanaokunywa wanalewa wanaondokaga na wanawake hata hawajitambui asubuhi anajuta
 
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]wanakuwaga wana gubu pia...!!anakusemanga mpk baasi!

Bora anywe tu ila nna bahati mbaya wale wabebz wangu hawanywi[emoji28][emoji28] ila chini balaaa!!hatariiii
Wapo pia wanaokunywa na wana gubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…