Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Mkuu usije jaribu... mimi napambana kutoka ila kiu yake ni levo ya kishetani... koo hua linasumbua sana na ni adui mkubwa wa pesa... huyu bwana hapendi swala la saving kabisaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante! Najiulizaga ni ushamba au utoto..why nisijaribu?!Mkuu usije jaribu... mimi napambana kutoka ila kiu yake ni levo ya kishetani... koo hua linasumbua sana na ni adui mkubwa wa pesa... huyu bwana hapendi swala la saving kabisaa!
Ahsante! Najiulizaga ni ushamba au utoto..why nisijaribu?!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]barikiwaaMzee! Kaushetani kake ka utamu hakaelezeki kiurahisi it is addictive... wote wanywaji tunajua kua inaharibu ini... figo... moyo na ni chanzo kizuri pia cha kansa ila hushangai bado tunapiga vyombo vya studio? Inaonekana una hamu sana , jaribu uone! Baada ya kukesha usiku mzima kwa kunywa pombe, kesho yake hua tuna apa kutokunywa tena .. na wengine kwenda na kwenye nyumba za ibada kabisa lakini wapi. DRINK AT YOUR OWN RISK!
Ila nikitafakari jinsi mkuu pombe bin jiwe anavyotuchachafya basi neno pombe linanipalia tu kooni!Hivi unaanzaje kuacha jamani daah pombe tamu sana
HahahahahahhaaaWanaume wasiokunywa pombe wanakuwaga na mambo ya kike kike.
[HASHTAG]#nothingpersonal[/HASHTAG]
Eeeh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]aisee!wasiokunywa pombe wanaume Mara nyingi wanakua vitombi balaaa!!!
Nikiskia mtu halewi najua ni player huyo 75% hachomoki!
Mamamaa weeee. Gubu lake sio la nchi hii. Kitu cha mistari miwili atakiandikia paragraph[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]wanakuwaga wana gubu pia...!!anakusemanga mpk baasi!
Bora anywe tu ila nna bahati mbaya wale wabebz wangu hawanywi[emoji28][emoji28] ila chini balaaa!!hatariiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkwee!balaa nna uzoefu ule wenyewe wa miaka almost mitano hivi[emoji23][emoji23]mpk unatamani hata aonje kidogo!Mamamaa weeee. Gubu lake sio la nchi hii. Kitu cha mistari miwili atakiandikia paragraph
Si kweli hawawafikii wanaokunywa ,tena wanaokunywa wanalewa wanaondokaga na wanawake hata hawajitambui asubuhi anajuta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]aisee!wasiokunywa pombe wanaume Mara nyingi wanakua vitombi balaaa!!!
Nikiskia mtu halewi najua ni player huyo 75% hachomoki!
Wapo pia wanaokunywa na wana gubu[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]wanakuwaga wana gubu pia...!!anakusemanga mpk baasi!
Bora anywe tu ila nna bahati mbaya wale wabebz wangu hawanywi[emoji28][emoji28] ila chini balaaa!!hatariiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wanywaji a.k.a walevi mna vituko sana...nimesoma page moja nimeshalewa kwa comments zenu
Uje katikati ya mji basiiNiko jiji la makonda lakini huku pembezoni [emoji23][emoji23][emoji23] Lazima niwatafute mmenipa amsha amsha sana nyie viumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikinywa za moto ndio naamka nazo lakini ile inayoshusha jasho nakuwa fresh tu [emoji23][emoji23]