Natamani kujua utamu wa pombe!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakunywa ngapiii kuna siku nilikunywa 9 woiiii sitaisahau hiyo siku sijawahi kunywa beer nyingi hivyo
Hahaaa![emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji11]kumbe mweupe tuuu!tisa uko hoiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakunywa ngapiii kuna siku nilikunywa 9 woiiii sitaisahau hiyo siku sijawahi kunywa beer nyingi hivyo
Kulewa kuanzia 7 kuendelea mwaka juzi ndio nilikunywa 11 hiyo siku ndio nililewa sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Woooooooooozeeeeeeeerrrrrr. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pombe kama unajinywea zako hupigani hugombani huvui nguo si jilewee tuu
 
Daa mkuu ushanivuruga tayari apa natamani nipate hata 3 za ghafla.Mpaka Jana ilikuwa ni siku ya 4 nakunywa tu,Yani tangu ijumaa.Daaa ni tamuuuuu
 
Ukitaka kujifunza pombe anza na st ane changanya na ice na maji kidgo.


Saa mbili usiku mpka saa sits chupa utakuwa imeisha.

Ukivuka hio stage amia dompo.

Baada ya dompo njoo kwenye Serengeti light

Mpka ifike december utakuwa unakunywa balimi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Bia ina sukari Guru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] beer tamuuuu [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji4][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2]wapendaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…