sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
[emoji8]Woyoooooooooooo tuombe uzima [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji8]Woyoooooooooooo tuombe uzima [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku aikubali niite aisee atarud kwake anatambaaMm nimeshamshawishi sana tu hata juzi kati nilimwambia anywe wine ila ipo siku yake atakunywa tu tukiwa na ndugu yangu @Mzigua90
Shenzyyy wewww[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anza na Saint Anna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]vibaya hvyo
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahhahah sawaSiku aikubali niite aisee atarud kwake anatambaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]loooohbalimi
kwa mara ya kwanza na ya mwisho nilipiga sita tena yale machupa yake makubwa
kilichonisaidia kufika home ni nyama ya kitimoto bila ivyo sijui ni nini kingetokea ile siku
mwambie atofautishe kwanza kati ya unywaji na uleviMaswali yake yanalewesha yaani
mwambie atofautishe kwanza kati ya unywaji na ulevi
bia 5 ni unywaji ila zikizid hapo we ni mlevi
Anayesema Pombe TAMU ni nani huyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuwa offMzee akitaka je?!
Dada yako Geniveros kapotelea wapi mkuu?Shunie njoo huku ndugu yako anataka kujua utamu wa pombe
Redds nshawahi sikia hiii
balimi
kwa mara ya kwanza na ya mwisho nilipiga sita tena yale machupa yake makubwa
kilichonisaidia kufika home ni nyama ya kitimoto bila ivyo sijui ni nini kingetokea ile siku