Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sasa jee. Tumepewa tubadilishane[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kunyima dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jee. Tumepewa tubadilishane[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kunyima dhambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha yani wewe
Khaaa Don jamani kwa nn usitulipie hizo 4 za mwanzoNaomba siku hiyo niungane na ninyi.
Bia 4 za mwanzo mnajilipia, atakayevuka nalipa mimi.
Mtajilipia.[emoji3][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3]sie wa maji je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna rafiki etu mwingine yeye alikua hanywi kabisa. Siku tukashtuka anakunywa wine. Sasa hivi anakunywa konyagi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bora JD eeh
Hahahahaaaa. Anataka kukuonelea tu Shunie. Sema bora nne za mwanzo tujulipie tu. Akisema zinazoongezeka tujilipie itakuajeKhaaa Don jamani kwa nn usitulipie hizo 4 za mwanzo
We sio mlevi bwanaaa
Yani mnaona kama vile mlichelewaHaki tena maana tunakuja kwa nguvuuui
Eeh. Kama sebleni kwangu 5000 pale
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mzigua acha ukorofi jamani sasa wapondaje tamu ya mwenzioKanuna niamini mimi. Kuna siku napo nililewa sijui nilimjibu nini akanuna week mbili. Juzi tena alijuta kunionyesha bby wake nahisi. [emoji23][emoji23][emoji23]. Najiuliza sijui nimtafute nione kama kanuna au nimuache tu
Juzi nilichofanya sasa. Nimekunywa JD nikamix na juice ya embe halafu ina sukari kama wanachukua bure kiwandani. Niliponea chupu chupu kurudisha chenchiYeah, hiyo inafaaa.
Hao wa ushuani wanatupiga bwana. Bei ya bucket moja ushuni huku uswahilini nayumba kabisa.Ndiwoooo uswahilini ndio wameshusha adhi kinywaji chetu
Yaan angelipia hizo 4 za mwanzo kuendelea hapo tujilipie tu wenyeweHahahahaaaa. Anataka kukuonelea tu Shunie. Sema bora nne za mwanzo tujulipie tu. Akisema zinazoongezeka tujilipie itakuaje
inauzwa 2500 sasa ivi
unamalizaje ela hapo