Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Kumbe unatakaje saaa!!!
Siku ukianza hutokuja kutuuliza, utajikuta tu ushakuwa pampula.
Shaurilo!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]pampula tena hapana nataka ile ya kispoti spoti
 
[emoji3][emoji3][emoji3]pampula tena hapana nataka ile ya kispoti spoti
Why unataka? Sio kitu kizuri hata cha kutamani. Sijawahi kutamani na wala sitotamani. Hao walevi wenyewe ukiongea nao honestly hawapendi ila ndio waahajikuta huko.
 
Karibuni ....
IMG_20180605_200300.jpg
 
mimi nilianza na viroba ila kama kwenye swala la ladha anza taratibu na kama kichwa yako itakuwa panzi kuwa na mtu mzoefu kama mimi so nitafute tunywe wote
 
Back
Top Bottom