Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu punguza kucheka kwanza utupe majibu maana wifi yangu kakuuliza vipi umeshaanza kunywa au bado? [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16]bado notisi hazijaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkwee!balaa nna uzoefu ule wenyewe wa miaka almost mitano hivi[emoji23][emoji23]mpk unatamani hata aonje kidogo!
😀😀😀😀Walevi nyoyo zao zipo mruaaa kwa hii mada.
cc: Mzigua90, Cha mdeko, Shunie na wengineo.
Usijali lazima nijeUje katikati ya mji basii
Njoo unywe utajua fastaEti wananzengo sijawahi kunywa hata kizibo(sijisifii) ila watu wangu wa karibu wengi wao wanywaji wazuri tu.
Kuna muda natamani kuonja ila nafsi inagoma kabisaa yaani!
Utakuta nimekaa na washkaji wananishawishi ila najikuta nagoma hii imenifanya mara nyingi sipendi kutoka usiku sana kwa kua silewi maana utakuta miye peke yangu nanywa maji sana tu au Bavaria kampani yote wao watumia vilevi!
Nishawishini walau nioje siku moja tu halafu nisinywe tena maana wengi wanasifia pombe tamu!walau tu nionje na miye kaaahh!
Acha ujinga mkuu.. Unaachaje kilevi?Ukifanikiwa kuepuka "Kilevi" chochote mshukuru Mungu.Endelea kunywa maji mkuu.
NEVER...
😂😂😂😂Mmefikia maamuzi ganii jamanii unakunywa hunywiii??