Natamani kulima Bange kwa jinsi hali ilivyokuwa ngumu

Natamani kulima Bange kwa jinsi hali ilivyokuwa ngumu

Mkuu hili zao linalipa sana..ningejua upo mkoa ghani ninhekushauri sehemu nzuri ya kuoteshea ambayo iko mafichoni na police ni ngumu kukufatilia
 
Ukiamua kulima ,unalima tu Tanzania hii kuna vijiji huko hata polisi hajawai onekana,unalima unavuna, Masadali wanakuja wenyewe kufuata mzigo...Ingia chaka huko milimani udongo una rutuba kinatoka cha ukweli,nta nyingi...Ni wazo tu
 
Ndugu zangu naomba ushauri. Hali imekuwa ngumu. Nimeanza kusoma number za kirumi sasa. Natamni nikalime bange. Naomba ushauri. Inalipa?
d7c9bbe4fbef059e3cbafbaf899df91c.jpg
Ndugu ni kweli maisha ni magumu hasa huko TZ lakini sikushauri kulima zao ambalo wabaya wako watatumia kuhakikisha unaishia gerezeni. Muombe mungu akupe njia nyingine ndugu
 
Back
Top Bottom