Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
[emoji38] Dry mkuu sipendi ku mixUmeendea mixer au dry?😀😀🙁😀😀
Sijawai ingia jelaLabda nkuulize tu unauzoefu wowote wa kwenda jela?
Siunaelewa kuwa hilo ni kosa kisheria utapigwa nyundo kama 30..hivi tena wewe ndo unaanza angaliaSijawai ingia jela
Jaribu tu ila mrejesho usisahau kutuleteaSwali ni kama inalipa?
Kawaje mwenzangu xxMwenzio mchungaji mlevi wa rivar kasema anaenda kuuza gongo
Ndugu ni kweli maisha ni magumu hasa huko TZ lakini sikushauri kulima zao ambalo wabaya wako watatumia kuhakikisha unaishia gerezeni. Muombe mungu akupe njia nyingine nduguNdugu zangu naomba ushauri. Hali imekuwa ngumu. Nimeanza kusoma number za kirumi sasa. Natamni nikalime bange. Naomba ushauri. Inalipa?
Mvua 10 bila dhamanaNikilima heka moja naweza pata kiasi gani. Unaonekana unaexperience kidogo