Natamani kulima Bange kwa jinsi hali ilivyokuwa ngumu

Inalipa sana.ukijua masoko ya jumla siyo kwa misokoto ya jerojero.
 
Ndugu zangu naomba ushauri. Hali imekuwa ngumu. Nimeanza kusoma number za kirumi sasa. Natamni nikalime bange. Naomba ushauri. Inalipa?
mi nilifikiri unataka kuvuta kabisa ili utembee kwa mguu hadi magogoni ukatoe machungu yako yote yaliyoko moyoni mwako.
 
Itanibidi nifanye ivyo pia
 
Ndugu zangu naomba ushauri. Hali imekuwa ngumu. Nimeanza kusoma number za kirumi sasa. Natamni nikalime bange. Naomba ushauri. Inalipa?
Lima mashamba kama 10, bila shaka hapo utaambulia hata matano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…