Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
469
Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu

Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake.

Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this

Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo unanishawishi nimcheki hata kwa kumtext lakini akili inakataa kabisa na kunambia uthithubutu.

Sasa wote tukiendekeza ego nani ataanza kumcheki mwenzake?

Daah nipo dilemma mwenzenu

Mapenzi mapenzi mapenzi

Ni maumivu tu badala ya furaha

Nakufa kijerumani na tai shingoni

Anyway kumpenda nampenda nikizidiwa nitamcheki
 
Ukimcheki ukubali kupewa masharti ya ajabu ajabu.

Mara ninunulie aifoni n.k
 
Wacha hizo mambo za hisia mkuu.

Akili mtu angu
 
Usimtafute hivyo hivyo mkuu. Hizi ndio chance watu huzitumia kupata wenzi wao.

Ukimya wako, ni sherehe kwa jamaa mwingine.
 
Eeh jamaa kadri unavyompa muda wa kua free ndo anatengeneza mechanism ya kukuondoa kwenye maisha yake,
Kama bado unampenda mcheki tu angalau ujishikize, kama ni wako mtadumu kama sio bas ita jisolve iko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…