Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

Ukimchek tu utaumia vumilia hadi umsahau
 
Ego inagharama kubwa kuliko kawaida, kibaya zaidi apo kila M1 anamngoja mwenzake alianzishe kwa ufupi mnasikiliziana. Binafsi nilishawah kuwa single kwasababu hiyo at the end wote tukajikuta kwenye same pain kwa kutaka kukomoana

Nilichojifunza ni kuminya kama week ivi ukiona kimya lianzishe kishingo upande kupima upepo
 
Kaza hivyo hivyo, kama anakupenda kweli atakutafuta, kama hakupendi atakukaushia..

Hapo kinachoendelea kati yenu nina hakika mnategeana nani amuanze mwenzie, ukianzwa raha saana... ila ukimuanza wewe atajenga katabia mbele ya safari atakuwa anakausha mkizinguana, usimtafute kama wewe ni mwanaume ..

Lakini kama ni mwanamke mtafute mwenzio sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…