Natamani kumiliki babershop

chakuu

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
32
Reaction score
2
Ni siku nyingi sana natamani kumiliki saloon ya kiume ya kisasa lakini kikwazo kikawa ni mtaji.. Lakini kwa sasa nimejikusanya na kupata million mbili., naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu katika mazingira ya jiji la Arusha au Morogoro inawezekana au niendelee kujikusanya.
 
Bora umejilipua mkuu.
Ni wajibu kujibu licha ya kwamba najua kuna watu wame Ignore post kwa kuona Milioni mbili na Salon ya Kisasa.
Kwa ufupi Haiwezekani.
Salon ya kisasa kwa kwa mtaji mdogo sana nahisi angalau uwe na Milioni 10 kwa mkoa wako na maeneo ya kawaida.

Maana milioni mbili Hata Mlango wa Aluminum,Vioo na Displays haitoshi
 


kaka angalia the way unavyoshauri utakuja kuua watu. kama 2mil haitoshi then mshauri afanyeje ili lengo lake litimie?
 
Mimi ningekushauri uanze na hiyo hiyo milioni mbili japo haitakuwa ya kisasa kama ulivotegemea ila anza na hiyo hiyo pesa uliyonayo na kadiri muda unavokwenda utapata experience na mtaji utakuwa na kukuwezesha kumiliki ya kisasa zaidi.

Do not wait: the time will never be 'just right'. Start where you stand, and work whatever tools you may have at your command and better tools will
be found as you go along.
Napoleon Hill
 
Anza na hyo cash ulinayo mku mengne bdye
 
ndomana unambiwa hata mmbuyu ulianza kama mchicha....anza tu na hiyo 2 milion kaka
 

ahsante mkuu nitafanya hvyo...
 
Inategemea na eneo na mkoa anapotaka kufungua hiyo saluni. Mfano mkoa wa morogoro garama zake ni nafuu ukilinganisha na arusha. Pia hadhi ya salun, kuna VIP kama Bm kinondon ambazo ndio zinaanza na mtaj wa mil 10, hadhi za kati za na za hadhi za chini na zote zina wateja wake. So anza tu kidogokidogo huku ukiboresha salun na kufanya kaz kwa bidii. Afta 1 or 2 yrs upo mbal kimaendeleo. Kila la heri.
 
Mi pia nilitamanigi sana kuwa barber....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…