Ni siku nyingi sana natamani kumiliki saloon ya kiume ya kisasa lakini kikwazo kikawa ni mtaji.. Lakini kwa sasa nimejikusanya na kupata million mbili., naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu katika mazingira ya jiji la Arusha au Morogoro inawezekana au niendelee kujikusanya.