Natamani kumjua mke wa Gentamycine nione uvumilivu alio nao

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Basi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana mke

Nilichogundua siku hizi hakuna kitu chepesi kupata kama mke na watoto. GENTAMYCINE ebu njoo PM uniambie umepanga majohe sehemu gani nije nione Familia yako
images%20(13)%20(18).jpg
 
Basi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana mke

Nilichogundua siku hizi hakuna kitu chepesi kupata kama mke na watoto. GENTAMYCINE ebu njoo PM uniambie umepanga majohe sehemu gani nije nione Familia yako View attachment 2672982
Unamjua jemima mrembo
 
Na wewe umeowa Mwalimu?
 
Hii vita ngoja nitafute popcorn 🍿
 
Back
Top Bottom