Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Kitambo sana la mama 🤣🤣Mchanga ushachukua wa kuputa? Naona vibuyu vitahusika leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekaa kwenye kona kukwepa mawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambo sana la mama 🤣🤣Mchanga ushachukua wa kuputa? Naona vibuyu vitahusika leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nikae karibu yako ili tushuhudie huu mpambano pamoja,nakuja na Juice ya Embe.Hii vita ngoja nitafute popcorn 🍿
Kitambo sana la mama [emoji1787][emoji1787]
Nimekaa kwenye kona kukwepa mawe
Naona mnafanya kila namna GENTAMYCINE apigwe banHata mm [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Uncircumcised Baboons wengine walivyo na Msongo wa Akili.
Mimi nikajua ni SHOGAHata mm [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa misifaParody. I'm GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' Okay?
Mmeo unamteteaKutoka kugombea jina la ukoo sasa umehamia kwa Genta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noted ,haitokosewa tena.Rekebisha ni Kisungura na siyo ulivyoandika Wewe Kasungura.
Mmeo unamtetea
Huyo ni tapeli kaamua kusafiria nyota kali ya umaarufu ya GENTAMYCINENaona mnafanya kila namna GENTAMYCINE apigwe ban
Hujaanza leo kutumia nguvu Kubwa kutaka kuonyesha kuwa Wewe ndiyo mpiga BAN hapa JamiiForums na Chuki zako za Kipumbavu dhidi yangu.Naona mnafanya kila namna GENTAMYCINE apigwe ban
unatamani kujua mke wa mwanaume mwenzio, au unataka kumwibia huyo mwanamke ndoa yake. nyie machoko sijui mtafutika liniBasi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana mke
Nilichogundua siku hizi hakuna kitu chepesi kupata kama mke na watoto. GENTAMYCINE ebu njoo PM uniambie umepanga majohe sehemu gani nije nione Familia yako View attachment 2672982
Hujaanza leo kutumia nguvu Kubwa kutaka kuonyesha kuwa Wewe ndiyo mpiga BAN hapa JamiiForums na Chuki zako za Kipumbavu dhidi yangu.
Jiulize kwanini nikiwa BANNED hapa JamiiForums bado GENTAMYCINE naendelea kuwa Mioyoni mwa Watu kwa Kunijadili na mpaka idadi ya Followers wangu Kuongezeka?
Mwenyezi Mungu kanibariki na Tunu ( Shani ) nyingi Tukuka kuliko Wenye Wivu na Umaarufu wangu hapa JamiiForums na nakuhakikishia hata ikitokea Nimekufa bado ID yangu na haya Mawazo yangu bila kuusahau huu Uwasilishaji wangu utadumu daima na milele ndani na nje ya JamiiForums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Ambaye Pumbavu Mmoja Wewe Unamchukia sana hapa JamiiForums ila 24/7 uingiapo JamiiForums huachi Kumsoma na Kumfuatilia.Mzee wa misifa
Thanks.Noted ,haitokosewa tena.
Kisungura kaanza kuwatemea nyongo,ngoja niongeze ice kwenye hii juice naona inapoteza ubaridi wake.Woyoooooooooo piga kelele kwa Genta akee
Spana zimeanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]