Natamani kumjua mke wa Gentamycine nione uvumilivu alio nao

Natamani kumjua mke wa Gentamycine nione uvumilivu alio nao

Hujaanza leo kutumia nguvu Kubwa kutaka kuonyesha kuwa Wewe ndiyo mpiga BAN hapa JamiiForums na Chuki zako za Kipumbavu dhidi yangu.

Jiulize kwanini nikiwa BANNED hapa JamiiForums bado GENTAMYCINE naendelea kuwa Mioyoni mwa Watu kwa Kunijadili na mpaka idadi ya Followers wangu Kuongezeka?

Mwenyezi Mungu kanibariki na Tunu ( Shani ) nyingi Tukuka kuliko Wenye Wivu na Umaarufu wangu hapa JamiiForums na nakuhakikishia hata ikitokea Nimekufa bado ID yangu na haya Mawazo yangu bila kuusahau huu Uwasilishaji wangu utadumu daima na milele ndani na nje ya JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!


🗑️
 
Bro mpige spana na Mpwayungu, walimu wote wamesema wapo pamoja na wewe wamechoka kusimangwa. Wanasubiri useme neno [emoji12]
Kama kuna Mtu hapa ( katkka huu Uzi ) anadhani au anategemea nitamjibu vibaya Mpwayungu Village kwa huu Uzi wake namuonea Huruma kwani sitofanya hivyo.

Kuna Watu hapa JamiiForums ili IDs zao ziwe Active na Watu wazijue no lazima waje na Threads za Kumhusu GENTAMYCINE Mtu Mwenye Nyota ya Kipekee ya Kimvuto ili akijibizana nao basi Umaarufu wao Uongezeke.

Usichokijua na nakuonyesha kuwa GENTAMYCINE nina Akili Kubwa na Upeo wa Ajabu ni kwamba Nia Kuu ya huu Uzi si Mke Wangu kama inavyosomeka bali kilicholengwa hasa hapa ni GENTAMYCINE ajadiliwe, achafuliwe, adhihakiwe na atukanwe ili ahamaki ajibu 'Kimakombora Umiza' yake kisha aripotiwe na apewe BAN na asiendelee kuwepo JamiiForums.

Chuki zao ni Baraka mno tu Kwangu.
 
Back
Top Bottom