Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Duuu unajisifu wewe jamaa! Siwezi shangaa kama ikitokea kuwa wewe na huyo mwl ni id moja kwahiyo unajichokoza na kujijibu sitoshangaaHujaanza leo kutumia nguvu Kubwa kutaka kuonyesha kuwa Wewe ndiyo mpiga BAN hapa JamiiForums na Chuki zako za Kipumbavu dhidi yangu.
Jiulize kwanini nikiwa BANNED hapa JamiiForums bado GENTAMYCINE naendelea kuwa Mioyoni mwa Watu kwa Kunijadili na mpaka idadi ya Followers wangu Kuongezeka?
Mwenyezi Mungu kanibariki na Tunu ( Shani ) nyingi Tukuka kuliko Wenye Wivu na Umaarufu wangu hapa JamiiForums na nakuhakikishia hata ikitokea Nimekufa bado ID yangu na haya Mawazo yangu bila kuusahau huu Uwasilishaji wangu utadumu daima na milele ndani na nje ya JamiiForums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!