Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Unamjua jemima mremboBasi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana mke
Nilichogundua siku hizi hakuna kitu chepesi kupata kama mke na watoto. GENTAMYCINE ebu njoo PM uniambie umepanga majohe sehemu gani nije nione Familia yako View attachment 2672982
Ni matusi sio ya nchi hii😃😃unachokitafuta utakipata
bita ni bita MURANi matusi sio ya nchi hii😃😃
Na wewe umeowa Mwalimu?Basi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana mke
Nilichogundua siku hizi hakuna kitu chepesi kupata kama mke na watoto. GENTAMYCINE ebu njoo PM uniambie umepanga majohe sehemu gani nije nione Familia yako View attachment 2672982
Mimi sio mwalimu Kwahiyo siwezi kukujibuNa wewe umeowa Mwalimu?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38]Sasa wewe na huyo jamaa wake zenu wote ni walimu au maana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah sure [emoji38][emoji38][emoji38]Huyo pichani ndiye Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kasungura Aka GENTAMYCINE ?
Hii imeenda hii imeenda.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38]
Rekebisha ni Kisungura na siyo ulivyoandika Wewe Kasungura.Huyo pichani ndiye Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kasungura Aka GENTAMYCINE ?
Hii vita ngoja nitafute popcorn 🍿Basi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana mke
Nilichogundua siku hizi hakuna kitu chepesi kupata kama mke na watoto. GENTAMYCINE ebu njoo PM uniambie umepanga majohe sehemu gani nije nione Familia yako View attachment 2672982
Ba damu batamwagikabita ni bita MURA
Mkuu, nataka kumwona wifeRekebisha ni Kisungura na siyo ulivyoandika Wewe Kasungura.
batachimbika muraBa damu batamwagika
Hahahahah ban zitatembea kwenye huu Uzi labda genta aamue kutumia busara...batachimbika mura