🤣🤣Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha...
Huyu huyu asiyeamini katika siasa z ushindani? Yeye anaami I siasa za mabavu tu. Kumbuka alivyokuwa anawapiga simu azam media wasiripoti kabisa mikutano ya chadema.Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili...
Kwani sikuhizi amebadirika Tena au?Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili, natamani niwe bado hai kuziona siku zake, nilitamani nimtembelee aliwa Malawi, wakati najiandaa ghafra nikasikia kapelekwa Cuba, ni mbali kweli na upeo wa macho yangu na uwezo wa nguvu yangu, basi tu nabakia kukuombea ufike pale ninapopaona.