Natamani kumtembelea Balozi Polepole nchini Cuba

Natamani kumtembelea Balozi Polepole nchini Cuba

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili.

Natamani niwe bado hai kuziona siku zake, nilitamani nimtembelee aliwa Malawi, wakati najiandaa ghafra nikasikia kapelekwa Cuba, ni mbali kweli na upeo wa macho yangu na uwezo wa nguvu yangu.

Basi tu nabakia kukuombea ufike pale ninapopaona.
 
Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili...
Huyu huyu asiyeamini katika siasa z ushindani? Yeye anaami I siasa za mabavu tu. Kumbuka alivyokuwa anawapiga simu azam media wasiripoti kabisa mikutano ya chadema.

Popole bwana alifikia hatua mpaka kusema eti kama kijana we siyo mwanasisiem basi hupati mkopo wa chuo asilimia mia.

Hili li jamaa halifai kabisa tena akiwa kiongozi mkubwa anaweza kuwa chinja chinja. Naomba mungu na huyu umpende zaidi kama ulivympenda jpm mana nchi ingekuwa imejaa magaidi kila Kona.

Asante mungu kuituliza nchi limebaki swala dogo tu la umeme.
 
Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili, natamani niwe bado hai kuziona siku zake, nilitamani nimtembelee aliwa Malawi, wakati najiandaa ghafra nikasikia kapelekwa Cuba, ni mbali kweli na upeo wa macho yangu na uwezo wa nguvu yangu, basi tu nabakia kukuombea ufike pale ninapopaona.
Kwani sikuhizi amebadirika Tena au?
 
Bright politician in current Tanzania politics aliyenyamazishwa
 
Back
Top Bottom