Natamani kumuoa ila.,....

kongosho kwa hilo sina uhakika nalo,mana la moyoni mwa mtu ni giza nene,,pia tatizo jingine yupo mbali na mimi,mkoani so ni ngumu kujua baadhi ya mambo

Jipe muda.....na uanze kuangalia kwingine kabisa!
 
wewe utamu ni mwanaume au mwanamke?

kukaa mwaka mbona sio kazi?
watu wanakaa miaka...
mh kukaa miaka huku mwenzio anadai usiku na mchana ndoa kichwani
we umewahi kukaa muda gani mrefu kabisa bila ku do?
 
May be na wewe sio Hazibendi material.. maana wanawake wanavyopenda kuolewa afu wewe huoni..,
By th way, What goes... What comes...

Mkuu siwezi kujisemea but nahisi ni husband material ila labda sijakutana na pair yangu
 
unachosema ni kweli kabisa,nt nimejaribu ku consider hata zile factor ndogo kabisa lakini bado sipati,,kuhusu la kuwaomba msamaha nimejitahidi kwa asilimia 60,,wote niliowahi waumiza au watenda nw nipo nw vizuri bt walio baki kila napo pata nafasi namwomba Mungu anisamehe on behalf
 
Kwani we "nakupenda lakini nna mpenzi wangu" unaitafsiri vipi?
unajua mara nyingi watu wanakuwa kwenye uhusiano bila kutambua wapo kwa ajili gani,,inwezekana ni mazoea ndo yanafanya watu waendelee kuwa pamoja japomapenzi yamepungua,,

hizo sababu hufanya watu kuanza kutafuta mibadala bt kwa umakini kuhofia kurudia makosa tena,,hapo ndo nakupenda ila nina mtu wangu inapokuja,,,,huo ni mtizamo wangu tu ndo mana lile swala la kukomaa likaniijia kichwani pengine kwa uelewa wangu mfinyu nikiwaza hivyo
 
mh kukaa miaka huku mwenzio anadai usiku na mchana ndoa kichwani
we umewahi kukaa muda gani mrefu kabisa bila ku do?

mi nimewahi kukaa miaka miwili..

wewe mbona hujibu swali?
 
yani kabisa the boss, unachowatendea wenzako leo lazima matendo yako yatarudi, wadada wa watu waliumia mioyo yao.
lakini always kuna second chance, afwate tu ushauri wako and i hope things will work out.
 
lakini sister,mbona na mimi9 nilishawahi kutendwa sana tu?
 
mi nimewahi kukaa miaka miwili..

wewe mbona hujibu swali?
swala la jinsia halitatatua swali la ndugu yetu
basi we ni shujaa kama kweli uliweza miaka miwili
but nadhani ni kipindi bado hujabalee
 
kwani hao wa zamani ulikuwa unawapataje? anza kuwatafuta kwa maombi.

ilikuwa inatokea tu nakutana nw
bt nw adys hali imebadilika kabisa
sikutani nao kabisa
 
ilikuwa inatokea tu nakutana nw
bt nw adys hali imebadilika kabisa
sikutani nao kabisa
kismatik kimepungua kabisa cha kukutana nao, pole ndo mana unataka kumrudia wa zamani.
 
kismatik kimepungua kabisa cha kukutana nao, pole ndo mana unataka kumrudia wa zamani.
yani hata sielewi aisee
kismat kimeenda wapi,kama nimelogwa vile
 
malipo n hapa hapa dunian"kpnd unaruka ruka hukutambua nan wa kuoa hta km walkua na nia nawe...2..ulikuwa na unaish kwa wacwac ukifkr kila anaekuja keako anataka vjsent vyako dat z buusht
 
malipo n hapa hapa dunian"kpnd unaruka ruka hukutambua nan wa kuoa hta km walkua na nia nawe...2..ulikuwa na unaish kwa wacwac ukifkr kila anaekuja keako anataka vjsent vyako dat z buusht
kaka nisingeweza kuoa wakati muda hujafika
 
yani hata sielewi aisee
kismat kimeenda wapi,kama nimelogwa vile
ulijiloga mwenyewe, anyway take time mungu ni wa wote mambo yatakuwa powa ila usitafute kwa pupa nenda taratibu utampata si unajua hata ukiwa umepoteza kitu ukiwa unatafuta kwa haraka ukipati lakini baadaye unakuja kukipata sehemu ambayo hata ukuitegemea so tulia tu nenda taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…