Natamani kungekuwa na mita ya wanaume!

uzuri wa hiyo mita ingekuwa ukipunguza speed na spidi ya
nanihii inapungua pia!
kwikwikwi wangekamatika kama wakirudisha mita nyuma spidi ya mtalimbo nayo inapungua tehetehe safiii sanaaaa

ila pia utawatambua kwa urefu wa mtalimbo wakifanya sana urefu unaongezeka
 


ndo mkome
 
Una akili wewe blackberry! umejuaje lakini? Na ndio maana huwa hamchelewi kulia mkigundua mmesalitiwa, si mnajua kuwa huo ndo mwanzo wa kukutana na mdunguaji mwingine, na mwingine...... ni kama safari moja inaanzisha nyingine!! hahahaaaaaaaaa.
Yah habari ndio hiyo
 

Kipimo kipo, siku ya mwisho kila mtu atatoa habari zake mwenyewe, mbele za Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…