Natamani kungekuwa na mita ya wanaume!

Natamani kungekuwa na mita ya wanaume!

Ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa
ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke
siku hizi kuna MJASILIAMWILI ni mwanamke. Hivi ninyi wanaume
tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... kinaonyesha
Mita kadhaa au kilomita........ Kweli mngetamanika......................
Hebu njooni hapa mmoja mmoja zingesomeka mita au kilomita
ngapi? Mkome kutuanzishia majina mabaya.

thio issue thana but wat dha kwenu.?
 
Mbona geji ipo, kwaani kila mtu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Yehova.
 
mcharuko,ikiwekwa mita labda iwe digital. manake utakua umewataftia tenda mafundi gereji ya kurudisha mita nyuma kama wanavyofanya wenye magari.
 
Uzuri wa hiyo mita ingekuwa ukipunguza speed na spidi ya
Nanihii inapungua pia!
 
Ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa
ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke
siku hizi kuna MJASILIAMWILI ni mwanamke. Hivi ninyi wanaume
tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... kinaonyesha
Mita kadhaa au kilomita........ Kweli mngetamanika......................
Hebu njooni hapa mmoja mmoja zingesomeka mita au kilomita
ngapi? Mkome kutuanzishia majina mabaya.

majina haya ni nyie wenyewe hujipachika juzi nilikuta na mdada mmoja na alimsuta rafiki yake tena chanda ya kuwa hivi sasa jina lake ni fungulia mbwa................................haya alimpachika baada ya kupata tetesi ya kuwa huwa anamwiba bwana wake.................na kuhusu kutotamanika hili haliwezekani kwa sababu taama yenu ni kuwa nasi hitu........................na ndiyo maana kuna usemi usemao....................akiona chongo huita kengeza.............
 
Umekosea......... wanaume wasiotulia wana majina yao....
1. Kiwembe
2. Kifagio
3. Kikaango
4. Kibuzi
5. Mla vichwa
6. Kamchape
7. Zungulukee
8. kidume
9. ..............................
10. ............................

9.atm
10.fataki
 
duh! Hiyo mita kiboko mcharuko kweli mungu katunusuru
lakini hata kwenu si ingekuwepo? Mimi ingesomeka 0 sm.
Kuna watu wanatoka nje ya ndoa ina maana wakirudi
nyumbani distance inakuwa imesogea...... Mh hii kali.
kama wewe ingesomeka 0 sm inamaana wewe ni bkra???
 
Back
Top Bottom