switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 48
- 186
Shukrani mkuuVuta hicho kitu, mi ninayo mwezi wa 6 sasa sijaona bado changamoto yoyote! Kuinyanyua kidogo inawezekana na kiwe kitu cha kwanza kufanya ikifika.
Nashukuru umesema jambo sahihi, kuna kipindi watu niliwaambia hili jambo lakini wakaanza leta ujuaji, shida ya Subaru zote kwanzia 2009 kurudi nyuma ndo habari ya head gasket issues, tena Subaru za nyuma ya 2000 ndo za kukimbia kama ukomaFunga rim na tairi kubwa kwa ushauri mzuri ili tairi zisiwe zinagusa body. Ikizidi km 120,000 uwe una monitor oil levels kila baada ya km 2000, zina jambo la kuanza kula oil. Sioni changamoto nyingine ya maana, gari nzuri
Kweli Subaru nyingi zina shida ya head gasket na kama sio oil kuleak.. basi inaweza kuchanganyika na coolant.. issue ni kwenye muundo wa engine zake horizontal pistonsNashukuru umesema jambo sahihi,kuna kipindi watu niliwaambia hili jambo lakini wakaanza leta ujuaji,shida ya Subaru zote kwanzia 2009 kurudi nyuma ndo habari ya head gasket issues,tena Subaru za nyuma ya 2000 ndo za kukimbia kama ukoma
Kweli Subaru nyingi zina shida ya head gasket na kama sio oil kuleak.. basi inaweza kuchanganyika na coolant.. issue ni kwenye muundo wa engine zake horizontal pistons
Gari poa sana.. mimi ninayo mwaka wa pili huu! Changamoto labda iko chini sana, hizi bara bara zetu za mtaan ni shida.. ikifika fanya kuinyanyua uendelee kula maisha!Jamani naomba kujua ubora wa subaru impreza 2009,2010&2011
Premio ina shida ganiMkuu unanishawishi pia ninatumia premio ila nataka nibadili to mentioned one.
Hapo juu umesema unayo mwezi wa sita sasa, lakini hapa unasema unayo mwaka wa pili..Gari poa sana.. mimi ninayo mwaka wa pili huu! Changamoto labda iko chini sana, hizi bara bara zetu za mtaan ni shida.. ikifika fanya kuinyanyua uendelee kula maisha!
Angalia ni comment ya lini mzee..Hapo juu umesema unayo mwezi wa sita sasa, lakini hapa unasema unayo mwaka wa pili..
Mbona hueleweki?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Angalia ni comment ya lini mzee..
Alaf mwenyewe nilijua ni uzi mpya ndo maana nikacomment tena
Hakuna shida usijali.. [emoji120]
Grass is always greener on the other side.Premio ina shida gani
Premio ina shida gani