Ziko poa sana ila zikianza kuzingua sensor zake ni balaa maana zinauzwa bei mbaya
Bora ist sio?Hakuna gari mle πππ
Aaah! Bora BMW X13
Bora ist sio?
Bora tvsAaah! Bora BMW X1
zinatoka nduki hizo SanlG ikasome ππBora tvs
Sensor unaweza kuagiza kwenye mitandao kama eBayZiko poa sana ila zikianza kuzingua sensor zake ni balaa maana zinauzwa bei mbaya
Sio kama hazipo,zipo ila bei ndio mkasi
Funga rim na tairi kubwa kwa ushauri mzuri ili tairi zisiwe zinagusa body. Ikizidi km 120,000 uwe una monitor oil levels kila baada ya km 2000, zina jambo la kuanza kula oil. Sioni changamoto nyingine ya maana, gari nzuri