Natamani kununua Subaru Impreza, nini changamoto zake?

Natamani kununua Subaru Impreza, nini changamoto zake?

Ziko poa sana ila zikianza kuzingua sensor zake ni balaa maana zinauzwa bei mbaya
 
Hakuna changamoto zozote, wewe nunua ujionee mwenyewe...
 
Funga rim na tairi kubwa kwa ushauri mzuri ili tairi zisiwe zinagusa body. Ikizidi km 120,000 uwe una monitor oil levels kila baada ya km 2000, zina jambo la kuanza kula oil. Sioni changamoto nyingine ya maana, gari nzuri

hii inaweza kuleta tatizo kwenye engine
 
Back
Top Bottom