Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Jamani wanajamii, naweza pata girlfrend/mke humu ambae ni mkweli na mvumilivu? Siku zote huwa sipendi kupretend maisha kwani truth sets me free, and honesty is always my best policy. So kwa ufupi: I'm aged 26, naishi Dar. Ndo nimepanga chumba ivi majuzi, ndani nina godoro tu. Kielimu nina Diploma. Sina kazi na nipo jobless huu mwaka wa 3 sasa. Asili yangu ni mwanza (msukuma by tribe). Am christian, nipo single kabisa and so lonely jamani.
Nahitaji msichana mzuri mwenye vigezo vifuatavyo: Anaejua kupenda kwa dhati, mwelevu, mpole, mkarimu kwa watu wote, na awe mwenye akili ya maisha. Elimu minimum form 4 na kuendelea. Sina ubaguzi wa dini wala kabila, cha msingi ni upendo wa dhati na maelewano.
Jamani am very stressful. Stress za maisha zinaninyima amani na furaha moyoni. But I trust in true luv, nahitaji faraja ya mwanamke anaejua kuwa maisha ni kutelemka & kupanda.
Any girl interested, please kindly feel free to PM me for more info kuhusu mimi. Hata kama ni urafiki tu wa kubadilishana mawazo na kuondoleana stress, karibu pia. Thanks in advance! LOVE is anywhere.