Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
- Thread starter
- #21
Ila uko vizuri kwenye kupangilia maneno. Unaandika kwa mpango, nilipofungua thread nikajua nitakutana na graduate wa
siku hizi wanaoandika utafikiri wanaendesha baiskeli.
Well........Utapata as you wish.
hahahahaa hapo kwenye red pamenifanya nicheke. Mkuu Plato, ahsante kaka kwa kunitakia kheri on my heart desire.
I try to relax, God is in control.