Ila uko vizuri kwenye kupangilia maneno. Unaandika kwa mpango, nilipofungua thread nikajua nitakutana na graduate wa
siku hizi wanaoandika utafikiri wanaendesha baiskeli.
Well........Utapata as you wish.
Mkuu Preta, frankly speaking... yeah sina hela! Napenda kuwa muwazi & mkweli tu, sioni haja ya kupretend maisha & kudanganya coz siku zote njia ya muongo ni fupi! I live my realities.
Sifa mbadala: I'm smart, nice appearance, mcheshi, nina Moyo wa kweli na upendo wa dhati. Pia ni mchakarikaji sana tu, naweza kumudu rent ya chumba japo nipo jobless. Nadhani nimejibu hoja yako dada Preta. Kama jibu langu halijakuridhisha na una swali la nyongeza, karibu sana, usisite.
Ahsante mkuu
Hapa nimekupenda bure, una vitu viwili vimenichanganya kabisa ambavyo ni adimu kabisaa siku hizi!!! Bora wewe muwazi mwenzangu maisha yataenda panapo na furaha, amani na hofu ya Mwenyeenzi-Mungu, nitakupm
Ukipata kazi....nitafute tuongee
Mkuu Preta, frankly speaking... yeah sina hela! Napenda kuwa muwazi & mkweli tu, sioni haja ya 6kupretend maisha & kudanganya coz siku zote njia ya muongo ni fupi! I live my realities.
Sifa mbadala: I'm smart, nice appearance, mcheshi, nina Moyo wa kweli na upendo wa dhati. Pia ni mchakarikaji sana tu, naweza kumudu rent ya chumba japo nipo jobless. Nadhani nimejibu hoja yako dada Preta. Kama jibu langu halijakuridhisha na una swali la nyongeza, karibu sana, usisite.
Ahsante mkuu
Aisee nilidhani nimeliona hili jambo peke yangu, kumbe tupo wengi?Ila uko vizuri kwenye kupangilia maneno. Unaandika kwa mpango, nilipofungua thread nikajua nitakutana na graduate wa
siku hizi wanaoandika utafikiri wanaendesha baiskeli.
Well........Utapata as you wish.
Aisee nilidhani nimeliona hili jambo peke yangu, kumbe tupo wengi?
Jamaa anajua kupangilia maneno, ladies with visions hebu mtafuteni Kaveli mu stat from the bottom. ..soon you'll be there
Dah!! I can imagine you're really smart btw you answer n tackle the questions...tatizo broda bamusichana ba siku izi pesa mbele zen mapenzi later...I urge you to find money first then later love. ..atakupa stress tu tena stress aswa...labda Mungu akuangushie straight from heaven. ..less ni stress hawa...stress
Mtoa mada the way unavyojieleza nahisi uko njema kielimu na kivingine..nadhani unatumia njia flani kutafuta mchumba atakae kupenda wewe kama wewe..coz wasichana wa siku hizi hawaaminiki..all da best..
NB..Ni mawazo tu.
Daaaah Mkuu Franky, really u have made my day bro. I'm deeply in love with the red phrase!! Hopefully any visioned lady will instantly hit my inbox after eye-contacting with your such kind comment. Frankly speaking... YOU are a real ''frank'' kama lilivyo jina lako!
Ahsante sana kaka, pamoja.