with what Mentor!!!!!!!
Mitaa ipi tena?Siku hizi naona hukauki mitaa hii...
ujue unafanya nazidi kupoteza hata akili ya daily test!Haya bana!!!!!!!!!!!!!!
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
Wazungu nao pia ni binadamu,so sishangai
Kumbe huwa namissiwa? Nilikuwa sijui.
Leo nipo basi enjoy.
ujue unafanya nazidi kupoteza hata akili ya daily test!
umekuwa mbebs sana leo kwangu!
nashidwa kuconcetrate bana!
matokeo yake nashindwa kujibu maswali!
Mhhh!!!!!!!!!!
Sidhani
Inawezekana wewe ndo hujanijua vyema
Lkini pia unatakiwa ujue kuwa mimi ni MWANAUME wa kiafrika aliekamilika
Unaweza kudhani ni mbabe kumbe is something else!!!
Do you???
I don't think so!
Mwanzoni ulisema hutaki kutumia akili ya NECTA
Na sasa unasema mimi nakusababisha?
Sory,i don't buy this
Wewe mwenyewe ndio chanzo cha yote
Unataka vitu rahisi
Huenda mimi sio rahisi hivyo nikawa nakukwaza!!!!!!!!
see!
kumbe wakati mwingine maswali yasiyo ya msingi yanaleta majibu ya msingi bana!
How?
Inamaana maswali yako sio ya msingi?
Au unataka kusema hukumaanisha ulichouliza
Sometime dream come true!!!!!!
Shauri yako!!!!!!!
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
Anamaanisha wanahusudu sana 0713......!-kiaje naomba unifafanulie
najua virungu vya kiafrica bomba sana,ila safari hii nahitaaji mzungu mie
najua virungu vya kiafrica bomba sana,ila safari hii nahitaaji mzungu mie