Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Ujinga mbaya sana, umeacha kutafuta pesa unawaza kuolewa na mwanaume mwenye pesa wanawake wengine bwana mnatia wenzenu aibu. huyo aliyekuambia wazungu wote wanahela ni nani?
 
Teh..tehe.. Wazungu ni waume wazuri.. Mume unayeweza kumkutanisha na 'boy friend' wako na asilalamike..🙂
 
Huyu dada nilikuwa namheshimu sana ila baada ya kuona bandiko hili nimeshtuka.dah,sasa umefikiri nini hadi ukaona mzungu ndo kipaumbele zaidi kwako?
 
Huyu dada nilikuwa namheshimu sana ila baada ya kuona bandiko hili nimeshtuka.dah,sasa umefikiri nini hadi ukaona mzungu ndo kipaumbele zaidi kwako?

Haaaaaaa Lol... umenichekeshaje

Dont take JF serious mkuu wangu
 
Huyu dada nilikuwa namheshimu sana ila baada ya kuona bandiko hili nimeshtuka.dah,sasa umefikiri nini hadi ukaona mzungu ndo kipaumbele zaidi kwako?
Wazungu wengi Ni waaminifu, hawana milupo, lazima mtu uwe Na jicho la tatu babue, sio unaangali hapa Tu, vijana wa kibongo akili yao saa zote inawaza michepuko, kila mtu keshawachoka, Kula kona mzee
 
u
muke.gif
muke.gif


Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.

watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa

hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,

sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....

kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
muke.gif
meshasema wana vibamia,,,,na unavopenda mabolo makubwa hamtadumu
 
Mzungu pori labda ndiye ataoa mwafrika!Mzungu wa ukweli lzm iwepo sehemu mmekutana na kuelewana kwa muda kama vile kazini,shuleni au mna sali pamoja

Hawa wa kukutana nao Arusha au ZNZ ni wazungu pori ehehehe
 
We take things so seriously,sometimes mtu anasema kitu for fun and to see how people respond about it. Life is very short,be happy oftenly
 
Nipo mimi hapa, MZUNGU WA ROHO na kuna jamaa mwingine yeye ni MZUNGU WA UNGA
 
Back
Top Bottom