mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
![]()
![]()
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa![]()
Bado haueleweki. Yaani unaonekana ni mtu uliyezoea kumeza au kula mihogo kwa kishindo na sasa unataka kutulia na kuficha ufuska wako unahofu vibamia japo unataka kuolewa na wenye hayo mashamba ya bamia. Ni nini haswa unachotaka?