Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #361
My name is NOT MZUNGU
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
Mmeanza kuingia chumbani wakati mimi sipo eeeh?nashukuru sana kwa taarifa ulizoonitumia,hakia ni msaada mkubwa huko mbeleni
We grafani11 jipe moyo tu, mi mwenzio 'mzungu' na hivi Heaven on earth anavyotamani wazungu, basi nishapata bonge la slop...Malkia wangu waangalie jinsi walivyotoa macho ya uchu na udenda ukiwatiririka midomoni wakidhani tutaachana kweli. Hahahahaaaaaaaaa
mie soon namwoa kibonge mzungu wangu lizy ana wadogo zake ngoja nikufanyie mpango ntapata wa kuongea nae kiswahili huko huston tx
Mmeanza kuingia chumbani wakati mimi sipo eeeh?
Jitahidi unaweza kufanikiwa.We grafani11 jipe moyo tu, mi mwenzio 'mzungu' na hivi Heaven on earth anavyotamani wazungu, basi nishapata bonge la slop...
Amekwisha tuelewa Malkia wangu si unaona comment yake hapo juu.
Madam Blue G ukitaka umfahamu mume mwenzio mpe talaka mkeo.
Muache avamie nyumba za watu bila hodi, akifunguliwa mbwa asishangae.my King you know me better huyu Ngalikihinja ahesabu maumivu tu
sa si hadi akufe,nikitangulia mimi nani atarithi hayo mafao
nice poem,lakin figganigga kwanini unafikiria yote hayoo jamani.....,
mimi nipo tu wala usiwe na mashaka
naanza kukuogopa. mia
angalia bana, usije ukawa unamfungulia mbwa kwa chatu....muache avamie nyumba za watu bila hodi, akifunguliwa mbwa asishangae.
Morning dear..hope umeamka with new ideas leo!
yule nilikuwa namfatilia kwa makini too bad hawa police wakamshtukia na kumkamata