Natamani kuolewa

We dada Digriii ya ndoa haipo wala ya mapenzi, hapo utakaanga ubuyo tu
 
Upo verrygood, Msimbe, yaani hujakosea kabisa, maanayake kwa cheo hicho atakuwa kapoteza sifa yaani USD ,alafu anataka ajifananishe na mpya New, Dada sahau wakurembe ila ukweli sahau kupata wa degree, labda awe
 
Ndugu yangu Haya mambo yanakuja Kwa wakati wake maalum, elewa hauko peke yako,
 
kama unatamani kuolewa shape yourself, muombe Mungu hayo Mengine ni ziada
 
wewe unajitambua, umesoma degree ngapi, una mcha Mungu, na wewe unajua namna ya kupenda??
 
Mtaani kwenu au maeneo unayojulikana hakuna mwanaume aliyekuona mpaka uje kutafuta huku?

Au mnaanzisha nyuzi mpate comments na likes ili maisha yaendelee?????
 
Tatizo lenu mnaanza vigezo ktk ndoa,sasa degerii ya nini ktk ndoa!!? Utachelewa sana mama!
 
Ebhu ingia kwanza kwenye mahusiano upate ujuzi na namna ya kutatua changamoto kabla hujakimbilia ndoa af urud kutafta tena wa kukuoa
 
Wewe una degree ngapi?
 
We una degree ngap
 
Njoo pm
 
Wengine tumesoma thermometer degree 100. Aliyesoma nae hataki mwanamke aliyezaa. Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…