Natamani kuolewa


Umeshaandaa "discipline team?" Hebu tazama hapa kwanza ili ujiandae mapema

 
halafu suala la wivu halina elimu kabisaa na hakuna binadamu asiyekuwa na wivu
 
Vipi yule golikipa? Hakuwa na elimu? Au alipungukiwa kipi?
Umesema yeye alikuwa chanzo, natamani kujua sababu kabla sijatuma maombi
 

Si kweli, mapenzi huchagua, u cnt just love someone na kila mtu ana viwango vyake, ofcoz si rahisi kupata mwenye asilimia zote utakazo lakini atleast yale ya muhimu utayapata. Mimi nilichagua na nikapata mwenye atleast 80%, nna 5 yrs kwenye ndoa na sijawahi kujuta since the day i met him.
 
Yawezekana mmewe alikuwa hana degree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utakuta yeye ni lasaba b alaf anataka degree kwani wewe mnyankende ?
 
Utapohitaji mwanaume darasa la 7 nisitue fasta.

-Kaveli-
 
Kigezo cha umri Na Degree Utasubiri Sana! Eti Awe Na Degree Na miaka 35 unataka Kumuajiri au

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi natamani aisee [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…