Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Kwako kocha mkuu wa Simba, msauzi Fadlu David
Natamani Sana kuona kiungo Bora mzawa Yusuf kagoma anapata muda wa kucheza Simba, kutompa nafasi ya kutosha ni kumkosea mchezaji na kipaji chake.
Mzamiru wa Nini kila siku???, Yani una option ya kagoma na okejepha alafu una opt kuanza na mzamiru kweli???
Nina mashaka na kibarua chako....anyways Acha nione mechi nyingine mbili au tatu Kama utabadilika