NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Kwa Simba yetu ni ngumu kagoma kucheza wakati Mzamiru yupo fit........code&6#307€¥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitatofautiana na nyie kidogo. Mzamiru, Zimbwe na Kapombe wanatumika kwa sasa kama senior players kuweka balance katika timu kwa sababu timu ipo katika kipindi cha mpito.Yule mzamiru nilitamani aachwe kabisa, aijui ni kachawi kale kajamaa.
AhsanteeeKaribu
Ni kweli sijapata nafasi ya kumuangalia Chasambi vya kutoka. Najua ni mchezaji mzuri na kama nilivyosema naamini atacheza sana tu kwa hiyo atapata nafasi ya kuonyesha uwezo wake.Yawezekana hujamwona kwa jicho la kimichezo dogo Chasambi. Ana chenga za maudhi na ana energy ni balaa. Huyo Awesu ni mchezaji wa mechi moja moja.
Zimbwe ni chuma Cha reli mkuu, sioni noumer akimuweka bench hasa mechi kubwa......kweli ana mapungufu lakini nafasi yake Bado ipo Sanaa, labda kwa kapombe naona energy inashuka na makosa yamekuwa mengiiiNitatofautiana na nyie kidogo. Mzamiru, Zimbwe na Kapombe wanatumika kwa sasa kama senior players kuweka balance katika timu kwa sababu timu ipo katika kipindi cha mpito.
Kwenye ile derby mliyokuwa mnamlalamikia Mzamiru na Kapombe, ukiweka wachezaji wote wapya unaweza kukutana na kipigo hautasahau. Derby ya Kariakoo siyo kama Medeama vs Asante Kotoko, ilibidi wawepo wachezaji wa kucheza kwa energy, spirit na tahadhari inayotakiwa na hili bado linahitajika kwa sasa. Naamini kwa jinsi ligi inavyokwenda Okejepha na Kijili wataanza kupewa dakika zaidi.
Binafsi ningependa kuona Nouma anapewa dakika zaidi na ikiwezekana aanze baadhi ya mechi. Kuna mapungufu ya Zimbwe ambayo yanafunikwa na usenior na ucaptain wake ila kama tumeamua kuleta mtu wa kumchallenge tumpe nafasi.
Ndipo hapo tunapokosea...mchezaji haujampa nafasi mnebaki tu na habari za chuma cha reli pamoja na kwamba mapungufu yake yanaonekana.Zimbwe ni chuma Cha reli mkuu, sioni noumer akimuweka bench hasa mechi kubwa......kweli ana mapungufu lakini nafasi yake Bado ipo Sanaa, labda kwa kapombe naona energy inashuka na makosa yamekuwa mengiii
Kazi na umri, akalee wajukuu sasa.Kacheza muda mrefu kiuhalisia morali imeshuka....alafu ile mipira mirefu anayopiga mara nyingi inapotea na kuagharimu timu
Kwa akili hizo hawafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10.Viongozi walidokezwa kuwa Yanga wanamtaka.
Namkubali sana dogo Kabaraka. Huwa anafunga karibu kila Mechi anazo cheza.Kuna Saleh karabaka pia...ni Mali mnoo
Hatulali sisi kama familiaYule mzamiru nilitamani aachwe kabisa, aijui ni kachawi kale kajamaa.
Kipa aanze Air ManulaCamara
Kijili
Nouma
Chamou/Hamza
Che Malone
Kagoma
Okejepha
Fernandez
Messi
Awesu
Mutale
Sub: Zimbwe, Ahoua, Chasambi, Karabaka, Mukwala, Mashaka
Atakayebahatika kucheza na kosi hili atapata tabu sana.