Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Mmesajili wachezaji 17 wapya bado mnambagulia kocha nani wa kumchezesha. Mashabiki tuna nongwa haswa
Inafahamika timu inatafuta muunganiko, sio dhambi tukaona duet ya kagoma na Fernandez ita offer kitu gani na sio kukaririMmesajili wachezaji 17 wapya bado mnambagulia kocha nani wa kumchezesha. Mashabiki tuna nongwa hasw
Semaji alikiri mchezaji mwenye injury ni mutale pekeeUko sahihi...
Ila nafikiri Kagoma ana Injury...
Mtoe Awesu hapo aingie Chasambi kwenye namba 10. Dogo yupo vizuri sana huyo ila Kocha anam underutilize.Camara
Kijili
Nouma
Chamou/Hamza
Che Malone
Kagoma
Okejepha
Fernandez
Messi
Awesu
Mutale
Sub: Zimbwe, Ahoua, Chasambi, Karabaka, Mukwala, Mashaka
Atakayebahatika kucheza na kosi hili atapata tabu sana.
Viongozi walidokezwa kuwa Yanga wanamtaka.Yule mzamiru nilitamani aachwe kabisa, aijui ni kachawi kale kajamaa.
Labda kocha ameshajaribu mazoezini akaona kuwa sio compatible hiyo duet. Kuna watu walitamani kuona Deborah na Okejepha kocha akaja kumuingiza kipindi cha pili binafsi niliona mabeki wa Simba wakawa wanafikiwa sana kule nyuma ila tu wachezaji wa timu pinzani kukosa utulivu.Inafahamika timu inatafuta muunganiko, sio dhambi tukaona duet ya kagoma na Fernandez ita offer kitu gani na sio kukariri
Mukwala ni mzuri zaidi akitokea pembeni na sio kwenye nafasi ya standing striker.....binafsi aina uchezaji wake haitofautiana Sana na Moses phiri unafanana kwa kiasi Fulani Sasa jiulize unamuacha phiri unamaajili mukwala lengo Nini??Camara
Kijili
Nouma
Chamou/Hamza
Che Malone
Kagoma
Okejepha
Fernandez
Messi
Awesu
Mutale
Sub: Zimbwe, Ahoua, Chasambi, Karabaka, Mukwala, Mashaka
Atakayebahatika kucheza na kosi hili atapata tabu sana.
Kacheza muda mrefu kiuhalisia morali imeshuka....alafu ile mipira mirefu anayopiga mara nyingi inapotea na kuagharimu timuYule mzamiru nilitamani aachwe kabisa, aijui ni kachawi kale kajamaa.
KaribuNaunga mkono hojaaaa!!
Ndio maana nikasema ngoja tuone baada ya mechi mbili au tatu....Ila kwa haraka akikutana na timu yenye kufanya counter attack ya haraka kazi ipo.....sijui kwenye CAFCC tukikutana na al ahli tripoli ya libyaLabda kocha ameshajaribu mazoezini akaona kuwa sio compatible hiyo duet. Kuna watu walitamani kuona Deborah na Okejepha kocha akaja kumuingiza kipindi cha pili binafsi niliona mabeki wa Simba wakawa wanafikiwa sana kule nyuma ila tu wachezaji wa timu pinzani kukosa utulivu.
Kama Smart911 anavyopenda kusema, tugange yajayo....Mukwala ni mzuri zaidi akitokea pembeni na sio kwenye nafasi ya standing striker.....binafsi aina uchezaji wake haitofautiana Sana na Moses phiri unafanana kwa kiasi Fulani Sasa jiulize unamuacha phiri unamaajili mukwala lengo Nini??
Hiyo ni first 11 haimaanishi hakutakuwa na sub. Sioni Chasambi akimnyang'anya namba Awesu kwa sasa ila wanaweza kupeana dakika. Madogo wote watacheza sana tu ndicho ninachoipendea Simba hiiMt
Mtoe Awesu hapo aingie Chasambi kwenye namba 10. Dogo yupo vizuri sana huyo ila Kocha anam underutilize.
Hiyo ni first 11 haimaanishi hakutakuwa na sub. Sioni Chasambi akimnyang'anya namba Awesu kwa sasa ila wanaweza kupeana dakika. Madogo wote watacheza sana tu ndicho ninachoipendea Simba hii
Kuna Saleh karabaka pia...ni Mali mnooHiyo ni first 11 haimaanishi hakutakuwa na sub. Sioni Chasambi akimnyang'anya namba Awesu kwa sasa ila wanaweza kupeana dakika. Madogo wote watacheza sana tu ndicho ninachoipendea Simba hii
Yawezekana hujamwona kwa jicho la kimichezo dogo Chasambi. Ana chenga za maudhi na ana energy ni balaa. Huyo Awesu ni mchezaji wa mechi moja moja.Hiyo ni first 11 haimaanishi hakutakuwa na sub. Sioni Chasambi akimnyang'anya namba Awesu kwa sasa ila wanaweza kupeana dakika. Madogo wote watacheza sana tu ndicho ninachoipendea Simba hii