Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 210
Hi everyone in here,
Leo sina mengi sana nahitaji kukutaba na wa Tanzania wanaosoma hapa Bonn University Ujerumani.
Leo mimi, Linda na Jakob tutatembelea Bonn Botan Garden iliyopo hapa Meckenheimer Allee kwa ajili ya kushuhudia uumbaji wa Mungu. Nimeona sio vyema kuwa peke yetu ni vizuri nikawashirikisha na Watanzania wenzangu. Njooni jamani, kuhusu kiingilio na nauli nitagharamia mimi.
Tukitoka Ujerumani kesho kutwa tutakuwa Poland. Ni tour ya mwezi huu wa holiday na pia ni katika harakati za kumpunguzia hasira Linda.
Jambo Tanzania.