squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Hamnaga kitu kama hiki afadhali umwambie aende mto mapacha akanywe maji yeye na mkewe.Kuna muda maalum..na inatakiwa ukishamkojolea alale chali kwa muda fulani..anyway ni elimu hii ngoja niishi hapa..
Hizi bangi za wakati wa mvua ni mbaya sana, kijana akiona wingu tu mzakali unainuka anatamani muda wote angekuwa ameloweka kwenye kWanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.
asalaam.
Chances za kuzaa mapacha kwa mwanamke huongezeka na umri. Endelea kujipinda kwa mkeo.
Kama kuna siku utapata mapacha sababu ya Style ulokaa ,,,,
Nitatembea uchi kila palipo na wakazi wengi hapa Dar !!
Tupen maelezo ya kitaalam...Jaman wataalam wa mambo hayo (naamna ya kupata mapacha) mana hata mm ninawahitaji sanaaa..........