Natamani kupata watoto mapacha

Natamani kupata watoto mapacha

Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.

asalaam.
Hizi bangi za wakati wa mvua ni mbaya sana, kijana akiona wingu tu mzakali unainuka anatamani muda wote angekuwa ameloweka kwenye k
 
Jaman wataalam wa mambo hayo (naamna ya kupata mapacha) mana hata mm ninawahitaji sanaaa..........
 
Kwa jinsi ninavyoelewa mapacha ni yai lililorutubishwa linagawanyika katika sehemu mbili au zaidi. Sijui kama kuna uhusiano na staili ya tendo la ndoa
 
Back
Top Bottom