Basi usiogope... weka watu wajione watakaempenda au japo toa ka id cha insta watu wakupigie misere uko. mambo za blind date zinaumiza kisaikolojia..... 😛Siwezi kuiudhi serikali yangu tukufu..
tukizimika hautaninaniliu?Mashine ntaichaguaje bila kuigusa best?.. kwema kabisa bado nasubiri ahadi yetu ya kuzimika.
😀 😀 😀 unakosa bahati wewe! shauri yakoWeee... insta ID yangu sithubutu japo iko private.
Mzigua90 said: ↑Wewe umesema
Sawa Dada yangu,Rudi uziguani utampata wa tarajio lako.Nakutakia Kila La Kheri!Wewe umesema
Kwanini sasa wasile
Ni kweli yani...upendo hushinda vyote kasoro kukosa hela tu!Ukimpenda mtu huo ufupi, hana hela sijui takataka gani huwezi kuziona. Unaweza muona mwanume wako mzuri kumbe wenzio wanamuona wa ajabu.
Nipo mzaa chema, kwema lakiniMkwe nakusabahi!
Haya basi endeleeni kupenda wasiowapenda, teh!Mmmmmh!! Hiyo ya kujilipua eti utajifunza kupenda imewacost wengi sana. How if asipompenda kabisa!!!
Unaishi wap?Weee... insta ID yangu sithubutu japo iko private.
Mmh kazi ipo kumbeNashukuru ila mie kwangu ndoa nii majaliwa, siwezi kuiwaza ndoa wakati hata ambae nitamaliza nae maisha yangu sina, ikitokea ndoa kheri ila nataka nianze na stage ya chini sitaki kukurupuka. Bora tuishie kwenye urafiki au uchumba lakini si kuingia kwenye ndoa sababu tu nampenda mtu. Niko tayari hata kuolewa ba miaka 40 ila nimpate nitakaempenda. Sijakata tamaa ya maisha bado kuwa na mwanaume ili tu niolewe. Asante kwa maneno yako lakini
Hawa wadada wataendelea tu kuachwa kwenye mataa kama wataendelea hii tabia yao ya kubishana na reality. Tunawapa ushauri wa rule of the game eti wao wanasikiliza moyo unataka nini, hahaaaa akyananiHapana sio kujilipua mtu akikupenda jipe muda wa kumchunguza je ataendana na wewe kama ataendana na wewe ndio ukubali kupendwa na sio kila unaempenda wewe atakuwa ndio mwenyewe hizo nazo ni bahati nasibu
Na mara nyingi yule usiempenda wewe ndio anakuwa mwenyewe kabisa